Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Hello Wanajamvi……
Nimekuwa na jitihada za kufungua biashara ya bucha la kisasa la samaki ambalo ndani yake kutakuwa na duka dogo la Cash-point (mobile money & internet banking), nje mitungi ya gesi. Vitu vifuatavyo tayari ninavyo (angalia picha…)
Naomba nikupe taarifa zifuatazo…
Regards

- Frem ya kisasa
- Leseni ya biashara
- Mashine ya kukatia samaki
- Ma-frezer ya kisasa
- Mashine ya kukatia samaki na kuku
- Line zote za mobile money (tigopesa, M-Pesa etc)
- Mashine ya CRDB
- Jina la biashara (Pluto fish point and wakala)
- Partition ya butcher na wakala
- Kodi miezi 3
Naomba nikupe taarifa zifuatazo…
- Mimi sio tapeli, ni mwajiliwa wa serikali na ninaheshimu partnership ya biashara
- Location ya biashara ni nzuri sana
- Pia ni mkulima mdogo
Regards
Njaa