suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,496
- 3,003
Amenkila la heri mkuu na mrejesho ulete ukishapata..Mungu akutangulie
Okay Asanteutapata tu...ila kuwa makini na matapeli Wa papuchi
kila awamu upokila la heri mkuu na mrejesho ulete ukishapata..Mungu akutangulie
vipi mkuu na mimi naweza kuja...huo mchongo vipi (wa internship)Njoo PM nikupe mchongo
kwan na ww ni KE?vipi mkuu na mimi naweza kuja...huo mchongo vipi (wa internship)
Nije na Mimi??Njoo PM nikupe mchongo
Ukiwa unangoja kazi, pita kule jukwaa la biashara, karibu kwenye uzi wa forex najua utatusaidia na hiyo accounting yako!!Habari zenu wapendwa.Mimi ni msichana in her mid twenties, kiwango changu cha elimu ni degree ya accounting.Najishughulisha na biashara ila upepo hauendi vizuri kwa hyo natafta kazi ya kujitolea ili mradi kuna malipo hata kidogo au kwa wale wanaotafta interns za kufanya kazi ndogondogo niko tayari.
Please kwa wale wenye nia ya kunisaidia karibu PM na msiwe walaghai please.Also kazi yeyote ilimradi inafundishika nafanya siyo lazima ya accounting.Am hard-working and I can work under all working conditions.
NB: niko Daressalaam
hapana mkuu si unajua life kusaidianakwan na ww ni KE?
Mkuu Mimi Pia Ni Muhitaji ICTKila la kheri sana.
Kwa anayehitaji Internship ya ICT hapa DSM tafadhali tuwasiliane.
Akiwa amemaliza Degree itakuwa vyema zaidi...
Mkuu Mimi Pia Ni Muhitaji SeriouslyKila la kheri sana.
Kwa anayehitaji Internship ya ICT hapa DSM tafadhali tuwasiliane.
Akiwa amemaliza Degree itakuwa vyema zaidi...