Natabiri tena mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,510
11,994
Natabiri huenda kutakuwa tena na mabadiliko madogo kwenye wizara nyeti mbili kama sio tatu.

Katika mabadiliko hayo mawaziri wawili watapumzishwa na kuwekwa mawaziri wengine.

Upo uwezekano Mkuu kufanya uteuzi maalumu kwa sababu Pana za kimasilahi ya Taifa.

Utabiri huu utatimia pale itampendeza Mkuu japo kwa hali ya upepo ilivyo uwenda Mkuu chini ya Baraza lake la usalama maamuzi mazito yakafanyika baada ya kile kimepangwa kwenda sawa kama walivyo kipanga (unknown).

Ikiwa maswali na kile limekusudiwa halijatimia uwenda mabadiliko yasifanyike kwa haraka kutoka sasa ninapo tabiri. Ila dalili zinaonyesha uwenda haitofika Dec 2023.

Huu ni utabiri kwa wenye uwezo wakuona jicho la Tatu. Sio vinginevyo. Asante.
 
Kiukweli hakuna ulicho kitabiri hapo kwa sababu zifuatazo:

1. Kwanza kwenye awamu hii mabadiliko ni jambo la kawaida sana lisilo hitaji kutumia akili kuling'amua.

2. Hata viongozi na wateule wa awamu kuanzia ya tano (5) hawalali wakifahamu kwamba wakati wowote ikimpendeze Rais hufanya mabadiliko.

3. Kwasasa siasa za hii nchi, mabadiliko ya wateule limekua jambo la kawaida sana hata sio jambo la ajabu tena kama zamani.
Hii ni sawa na kutuhadaa kwamba mvua itanyesha ndani ya wiki hii, wakati tayari ni kipindi cha masika.
 
Kiukweli hakuna ulicho kitabiri hapo kwa sababu zifuatazo:-
1. Kwanza kwenye awamu hii mabadiliko ni jambo la kawaida sana lisilo hitaji kutumia akili kuling'amua.
2. Hata viongozi na wateule wa awamu kuanzia ya tano (5) hawalali wakifahamu kwamba wakati wowote ikimpendeze Rais hufanya mabadiliko.
Sawa na mtu eti anatabiri kesho jua litawaka, wakati ni kiangazi jua kuwaka ni lazima😂
 
Nchi ya panga pangua.
Ndani ya masaa 100 Maharage ameongoza mashirika ya umma 3.
Ndani ya masaa hayo hayo Mkurugenzi wa TTCL aliyeonekana hafai, ghafla ameonekana kufaa zaidi na kupewa hadhi.
Jana naibu badala ya kufanya mikakati atuletee umeme, ndio kwanza alikua jimboni anafanya kampeini.
 
Inabidi wazee wa kimila wakiongozwa na Yericko Nyerere wakufanyie tambiko ili safari hii ukumbukwe.
Musiba, makonda na Sabaya wakipata uteuzi ujue anayefuata ni yeye. Kipindi kile hao watatu walitumia nguvu ya dola yeye alitumia kalamu ya dola! Kwa kalamu yake naye katesa watu! Njaa kajitakia njaa, fuatilia post zake zote kipindi hicho na usisahau masaibu ya Kabendera!
 
Nchi ya panga pangua.
Ndani ya masaa 100 Maharage ameongoza mashirika ya umma 3.
Ndani ya masaa hayo hayo Mkurugenzi wa TTCL aliyeonekana hafai, ghafla ameonekana kufaa zaidi na kupewa hadhi.
Jana naibu badala ya kufanya mikakati atuletee umeme, ndio kwanza alikua jimboni anafanya kampeini.
Jamaa kaanza kuniboa pia... yaani kila siku yeye yuko majukwaani kushukuru tuu...as if kama kafanyiwa favour ya ajabu.

Hii tabia ya wateule kutojiamini na kila wakipewa mic Bas wao ni kushukuru tuu na kuahidi kutomwangusha aliyewateua instead ya kutoa solutions ya jinsi ya kutatua matatizo ya wananchi yaliyoko kwenye sekta zao...inatia aibu sana...acheni uoga, nyie ni Wabunge mliochaguliwa na wananchi(according to NEC). Kuteuliwa kwenu kuwa Mawaziri sio favour hata kidogo, katiba inawapeni hiyo fursa, acheni kujinyenyekeza kiwango hicho...mnatupa mashaka na uwezo wenu kiuongozi na self confidence zenu.

Ujumbe huu umfikie Bashungwa,Biteko and et al
 
Natabiri huenda kutakuwa tena na mabadiliko madogo kwenye wizara nyeti mbili kama sio tatu.

Katika mabadiliko hayo mawaziri wawili watapumzishwa na kuwekwa mawaziri wengine.

Upo uwezekano Mkuu kufanya uteuzi maalumu kwa sababu Pana za kimasilahi ya Taifa.

Utabiri huu utatimia pale itampendeza Mkuu japo kwa hali ya upepo ilivyo uwenda Mkuu chini ya Baraza lake la usalama maamuzi mazito yakafanyika baada ya kile kimepangwa kwenda sawa kama walivyo kipanga (unknown).

Ikiwa maswali na kile limekusudiwa halijatimia uwenda mabadiliko yasifanyike kwa haraka kutoka sasa ninapo tabiri. Ila dalili zinaonyesha uwenda haitofika Dec 2023.

Huu ni utabiri kwa wenye uwezo wakuona jicho la Tatu. Sio vinginevyo. Asante.
Hakuna jambo zito ambalo hiyo nchi inaweza kufanya kwa sasa, kila mwenye kambba azingatie urefu tu, nothing serious. Fanyeni kazi kwa bidii, hilo ndiyo jambo muhimu.
 
Kiukweli hakuna ulicho kitabiri hapo kwa sababu zifuatazo:

1. Kwanza kwenye awamu hii mabadiliko ni jambo la kawaida sana lisilo hitaji kutumia akili kuling'amua.

2. Hata viongozi na wateule wa awamu kuanzia ya tano (5) hawalali wakifahamu kwamba wakati wowote ikimpendeze Rais hufanya mabadiliko.

3. Kwasasa siasa za hii nchi, mabadiliko ya wateule limekua jambo la kawaida sana hata sio jambo la ajabu tena kama zamani.
Sawasawa...
 
Back
Top Bottom