Natabiri Mabadiliko Madogo Baraza la mawaziri. Wawili kama sio mmoja kutemwa

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,622
12,295
Igweeee nisiwachoshe wala nisijichoshe.

Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasikia mabadiliko ktk baraza la maziri.

Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu nakisha pewa wizara Utabiri sio leo sio kesho ila utabiri stay tune....

Pray for our Nation.
 
Igweeee niswachoshe wala nisijichoshe.. Madam President akirejea kutoka Kenya uwenda usiku mkasiku mabadiliko ktk baraza la maziri.
Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu nakisha pewa wizara Utabiri sio leo sio kesho ila utabiri stay tune....
Pray for Nation.

Ni kweli mabadiliko ya baraza yanahitajika lakini walio boronga ni watoto pendwa hivyo usitegemee kipya na hakuna kitu kama hicho

January na Mwigulu walitakiwa kutoswa shida Rais anaogopa na anaona aibu
 
Sijui kwanini bado mnapenda hizo story za "mabadiliko ya baraza la mawaziri"

The truth is, hayo mabadiliko ya kila siku yameshaonekana hayazai matunda, ndio maana kila siku wanabadilisha tu, hivyo, hata wakibadilisha tena, na tena, bado hapatakuwepo na jipya.

Inatakiwa hii story ya "mabadiliko ya baraza la mawaziri" au "mkeka wa wakuu wa wilaya/mikoa umetoka" zizoeleke sasa, kama tulivyouzoea umaskini na ujinga nchini kwetu chini ya CCM.
 
Ni kweli mabadiliko ya baraza yanahitajika lakini walio boronga ni watotobpendwa hivyo usitegemee kipya na hakuna kitu kama hicho

January na Mwigulu walitakiwa kutoswa shida Rais anaogopa na anaona aibu
Hao ni bakora za Chadema, haitakuja kutokea kutolewa kwenye Baraza la Mawaziri..
 
Sijui kwanini bado mnapenda hizo story za "mabadiliko ya baraza la mawaziri"

The truth is, hayo mabadiliko ya kila siku yameshaonekana hayazai matunda, ndio maana kila siku wanabadilisha tu, hivyo, hata wakibadilisha tena, na tena, hapatakuwepo na jipya.
Chadomo wanahangaika na Mwigulu na Makamba kwa chuki zao za kindezi
 
Igweeee niswachoshe wala nisijichoshe.

Madam President akirejea kutoka Kenya huenda usiku mkasiku mabadiliko ktk baraza la maziri.

Na kwa vile utabiri unaonyesha mawaziri wawili watapigwa chini kama sio mmoja na wizara fulani nyeti itapewa mtu atakae teuliwa kwanza ubunge viti maalumu nakisha pewa wizara Utabiri sio leo sio kesho ila utabiri stay tune....

Pray for our Nation.
Mvaa bendera ya taifa na muuza mitungi ya gesi wakwende zao, tumewachoka bana.
 
Back
Top Bottom