chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 860
Nimeanza kupata dalili za genital warts sehemu za siri kwenye shina la uume kuota vinyama (visundo sundo vidogo), nimejaribu dawa lakina bado sijapata matokeo mazuri.
Je, ni dawa gani inaweza nisaidia nikapona tatizo la genital warts, kwa wake ambao mshapatwa na tatzo hili mlitumia dawa gani mkapona?
Msaada please madokta
Je, ni dawa gani inaweza nisaidia nikapona tatizo la genital warts, kwa wake ambao mshapatwa na tatzo hili mlitumia dawa gani mkapona?
Msaada please madokta