Nasumbuliwa na maumivu ya upande wa kulia eneo lote la kifua, mbavu na mgongo

JOHN VENAS

Member
Oct 8, 2024
7
1
Ndugu zangu naitwa John Venas nasumbuliwa na maumivu ya muda mrefu ya UPANDE mmoja wa KIFUA na mbavu nilifanya
1728466169238.png
Vipimo vya Exray bila matokeo yoyote lakini Sasa tatizo linasogea na linahamia na kuzidi kuenea
1728466407326.png

20241009_115054.png
Ukisoma hizo namba 01 ndipo tatizo lilipo anzia nilianza kuhisi maumivu UPANDE huo niki ulalia na mara nyingine Muwasho kwa ndani na kukohoa ila mtu akinipigapiga mgongoni na ilo Eneo panatulia mpaka Sasa hayo maeneo yote nahisi maumivu ila yote ni UPANDE mmoja wa kulia ilianza namba 1,2,3 na Sasa 4 maumivu yanasogea

Naombeni ushauli tatizo lilianza Kama picha inavyo someka hapa imefika wakati niheli nilake chini au mtu anipigepige ngumi Eneo Lilo uma ndio kidogo napata nafuu hapa nimeweka picha za hospital na maeneo nayo hisi maumivu

Hizi ni picha hospital

1728466111684.png
Naombeni ushauli jamani😢😢😢napitia wakati mgumu
 
Attachments

  • IMG_20240919_153437_1.jpg
    IMG_20240919_153437_1.jpg
    810.9 KB · Views: 9
  • 20241009_115054.png
    20241009_115054.png
    1.7 MB · Views: 7
Ndugu zangu naitwa John Venas nasumbuliwa na maumivu ya muda mrefu ya UPANDE mmoja wa KIFUA na mbavu nilifanya
Vipimo vya Exray bila matokeo yoyote lakini Sasa tatizo linasogea na linahamia na kuzidi kuenea
Ukisoma hizo namba 01 ndipo tatizo lilipo anzia nilianza kuhisi maumivu UPANDE huo niki ulalia na mara nyingine Muwasho kwa ndani na kukohoa ila mtu akinipigapiga mgongoni na ilo Eneo panatulia mpaka Sasa hayo maeneo yote nahisi maumivu ila yote ni UPANDE mmoja wa kulia ilianza namba 1,2,3 na Sasa 4 maumivu yanasogea

Naombeni ushauli tatizo lilianza Kama picha inavyo someka hapa imefika wakati niheli nilake chini au mtu anipigepige ngumi Eneo Lilo uma ndio kidogo napata nafuu hapa nimeweka picha za hospital na maeneo nayo hisi maumivu

Hizi ni picha hospital

Naombeni ushauli jamani😢😢😢napitia wakati mgumu
Pole sana!

Ushauri: unahitaji kwenda kwa daktari tena akusikilize vizuri! Haya maelezo uliyoyatoa hapa kamweleze daktari na tatizo lako litabainika. Kuna vitu vichache tu vingine daktari atakuuliza kuhusu hayo maamivu maana mengi umeelezea kweli.

Pia huenda ukahitaji vipimo vingine zaidi ya hiyo X Ray. Sijajua hospital uliyoenda ilikuwa ya level gani, itabidi ujipange uende ya juu ya hiyo.

Kwa ufupi tu ni kwamba maumivu ya kifua yanaweza kuashiria shida kwenye ngozi, nyama (misuli), mapafu, mishipa ya damu au moyo. Kila aina ya maumivu ya kifua yana sifa zake maalumu mfano maumivu ya kifua yatokanayo na misuli ya kwenye kifua hutofautiana na yale yatokanayo na shida iliyoko kwenye mapafu. Kwa hiyo maelezo yako yatamwongoza daktari kujua hasa asili ya maumivu hayo kama ni kutoka kwenye ngozi, misuli, mapafu ama mishipa ya damu au hata mifumo mingine ambayo hupita sehemu ya kifua mfano mfumo wa chakula.

Kwa hiyo nenda hospital tena kwa uchunguzi zaidi naamini utapata tiba sahihi.
Pole sana na kila lakheri!
 
Asante sana kwa ushauri mzuri nitalifanyia kazi hili asante
 
Pole Sana ndugu!
Huku ukiwa unaendelea kupambania vipimo vikubwa zaidi na tiba,endelea kutumia tangawizi na michaichai kwa wingi.Unaweza kufanya Mara tatu kwa siku unakunywa kikombe kimoja Cha mchanganyiko huo.
Probably unaweza kuwa na uvimbe kwenye cartilage zinazounganisha mbavu na kifua,uvimbe binafsi kwenye mbavu,mbavu imevunjika au kupata hitilafu kulingana na aina ya kazi unayofanya.Lakini pia wakati mwingine huwa ni maambukizi ya bakteri au magonjwa mengine yanayoathiri na kusababisha maumivu kwenye mbavu.
Kikubwa jitahidi kufanya vipimo vikubwa ili kugundua chanzo Cha tatizo iwe rahisi kutibu.
 
Asante sana ndugu yangu Naakushukuru mno
 
madaktari ukiwasikiliza wanakuaga kama wababaifu hivi

its so strange these people are existing

Yaani...

Unatoka hospitali unaona mbona kama nimepigwa sanaa mwanzo mwisho

Bongo is bongo

Yaani doctor anakupiga sanaa anakusikilizia eti na wewe utoe maoni kwenye diagnosis unawaza,this motherfvcker went to school for 5years to give us answers and still yuko hapa nae ananisikilizia?
 
Pole, natumai ushaenda hosp, if not nenda hosp Kubwa clinic ya MOPD ukutane na specialist/ physician atasuggest further investigation mf ECHO, ECG au zaidi au spirometry ili kujua tatizo ni lipi.

Kwa kipimo ulichoishia, kweli unawezakuta hawajaona tatizo but kikawa c kipimo tosha as vipo more advanced and sophisticated.

Utakaa poa ndugu
 
Back
Top Bottom