Nasumbukiwa na maumivu ya upande wa kulia wa kifua na mbavu

JOHN VENAS

Member
Oct 8, 2024
7
1
Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua

nikijaribu kuvuta pumzika nyingi kuijaza kifuani maeneo ya mbavu na kwa ndani nahisi Kama Kuna kitu nakitinesha ila mtu akinipigapiga mgongoni UPANDE huo au Eneo Hilo maumivu yanapoa kabisa.

Naomba ushauri wenu tatizo lilianza maeneo ya mbavu palianza kuwasha na kuuma kwa ndani na kuanza kusambaa kwa maeneo tofauti Kama namba nilivyo onyesha. Kwenye picha tofauti Kama picha inavyo onyesha naomba ushauri wenu ndugu zangu nifanyeje.

Nilipiga x-ray lakini wapi hakuna tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…