Uli ujue lazima uanze. Huwezi tembea kilomita mbili bila kuanza na hatua moja.
Hata mbuyu umeanza kama mchicha.
Nimepitia uteuzi wa wakurugenzi wa h/mashauri. Siamini naona kama naota kuona ukurugenzi unageuzwa kuwa cheo cha kisiasa! Huyu JPM nayemwamini 100% anawezaje kumteua mtu haijui kabisa local government kuwa mkurugenzi. Sifa za kuwa mkurugenzi zimeandikwa kwenye kitabu cha muundo wa utumishi. Kifupi JPM atakuja kuomba radhi watanzania kwa kosa hili. U-DC ni tofauti sana na ukurugenzi, ukurugenzi ni utaalamu na uzoefu wa kuongoza local govt. na sio siasa. Hata kama kuna msukumo wa kisiasa, wapo makada wazuri sana wenye sifa za kuwa wakurugenzi tena wanao ijua local govt. vizuri sana. Kusema haya sina maana napinga mabadiliko haya ya wakurugenzi, la, tena nayafurahia sana kwa sababu yametoa uozo mkubwa ndani ya local govt. Wengi wa wakurugenzi waliokuwepo walikuwa wananunua ukurugenzi kama bidhaa na wengine walipewa kiushkaji, panga lilopita lilikuwa sahihi kwa wakati sahihi wa kuelekea Tanzania ya viwanda, lkn kwa uteuzi huu najiskia aibu kubwa sana. Leo watu wananikejeli wananiambia angalia uteuzi wa mtu wako unaye mwamini mno!!!!=== Sina majibu nimepigwa na butwaa. Nasubiri mdororo wa local government ambalo ni mdororo wa serikali.
Namaliza kwa kumwombea Rais wetu JPM aepushwe na pepo la kuunda "mtandao" na asimamie kile alichoamini.===akiisoma hii aseme- Amen
Hivi why Tanzania imekuwa nchi ya kulalamika tu??Nimepitia uteuzi wa wakurugenzi wa h/mashauri. Siamini naona kama naota kuona ukurugenzi unageuzwa kuwa cheo cha kisiasa! Huyu JPM nayemwamini 100% anawezaje kumteua mtu haijui kabisa local government kuwa mkurugenzi. Sifa za kuwa mkurugenzi zimeandikwa kwenye kitabu cha muundo wa utumishi. Kifupi JPM atakuja kuomba radhi watanzania kwa kosa hili. U-DC ni tofauti sana na ukurugenzi, ukurugenzi ni utaalamu na uzoefu wa kuongoza local govt. na sio siasa. Hata kama kuna msukumo wa kisiasa, wapo makada wazuri sana wenye sifa za kuwa wakurugenzi tena wanao ijua local govt. vizuri sana. Kusema haya sina maana napinga mabadiliko haya ya wakurugenzi, la, tena nayafurahia sana kwa sababu yametoa uozo mkubwa ndani ya local govt. Wengi wa wakurugenzi waliokuwepo walikuwa wananunua ukurugenzi kama bidhaa na wengine walipewa kiushkaji, panga lilopita lilikuwa sahihi kwa wakati sahihi wa kuelekea Tanzania ya viwanda, lkn kwa uteuzi huu najiskia aibu kubwa sana. Leo watu wananikejeli wananiambia angalia uteuzi wa mtu wako unaye mwamini mno!!!!=== Sina majibu nimepigwa na butwaa. Nasubiri mdororo wa local government ambalo ni mdororo wa serikali.
Namaliza kwa kumwombea Rais wetu JPM aepushwe na pepo la kuunda "mtandao" na asimamie kile alichoamini.===akiisoma hii aseme- Amen
Mkianza kuwapa mtizamo hasi hao wateule basi na wao wanaweza kutenda kihasi hasi lakini mkiwapa mtizamo chanya basi na wao wanaweza kutenda kichanya chanya hivyo wapeni muda kabla ya kuwahukumu kuwa hawawezi.
Tatizo lenu hamtaki kuamini kuwa ADUI wa TAIFA hili ni CCM mkiambiwa chagueni kitu kingine mnaishia kutaja majina ya watu...so..TULIENI...siku mkija kuamini kwamba CCM ndio inaharibu hii NCH hata akigombea MALAIKA kwenye hiyo hamtamchagua....!! Endeleeni kusubiri Tanzania ya Viwanda...Nimepitia uteuzi wa wakurugenzi wa h/mashauri. Siamini naona kama naota kuona ukurugenzi unageuzwa kuwa cheo cha kisiasa! Huyu JPM nayemwamini 100% anawezaje kumteua mtu haijui kabisa local government kuwa mkurugenzi. Sifa za kuwa mkurugenzi zimeandikwa kwenye kitabu cha muundo wa utumishi. Kifupi JPM atakuja kuomba radhi watanzania kwa kosa hili. U-DC ni tofauti sana na ukurugenzi, ukurugenzi ni utaalamu na uzoefu wa kuongoza local govt. na sio siasa. Hata kama kuna msukumo wa kisiasa, wapo makada wazuri sana wenye sifa za kuwa wakurugenzi tena wanao ijua local govt. vizuri sana. Kusema haya sina maana napinga mabadiliko haya ya wakurugenzi, la, tena nayafurahia sana kwa sababu yametoa uozo mkubwa ndani ya local govt. Wengi wa wakurugenzi waliokuwepo walikuwa wananunua ukurugenzi kama bidhaa na wengine walipewa kiushkaji, panga lilopita lilikuwa sahihi kwa wakati sahihi wa kuelekea Tanzania ya viwanda, lkn kwa uteuzi huu najiskia aibu kubwa sana. Leo watu wananikejeli wananiambia angalia uteuzi wa mtu wako unaye mwamini mno!!!!=== Sina majibu nimepigwa na butwaa. Nasubiri mdororo wa local government ambalo ni mdororo wa serikali.
Namaliza kwa kumwombea Rais wetu JPM aepushwe na pepo la kuunda "mtandao" na asimamie kile alichoamini.===akiisoma hii aseme- Amen
Unajua watanzania sijui nani katuwangia ukichoandika ni ngumu sana...kuelewa yaani MTU anafanya jambo lile lile miaka yote then anajitegesha kusubiri mambo mapya...Kwanini watz tusiwe Ajabu la 8 la Dunia kwa UJUHAKama kuna mtu bado ana imani na ccm, asitarajie jipya. Hii nchi itapiga hatua za haraka kimaenedeleo pale tu ccm itakapotoka madarakani, zaidi ya hapo tutaendelea kushuhudia mazingalaombwe tu.