Duh inasikitisha mwanamke hajijali kwa usafi hadi yupo hivyo, wanawake nunueni wet toilet tissue au baby wipes mbebe kwenye handbags zenu jamani na makwenu hata mkikwojoa pia mtumie.
Ila ukome kulewa na kutokujua kutofautisha harufu ya m**** na mengine.