ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 8,814
- 20,535
Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua
Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali,
Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9,
Hadi siku ya kujifungua unafika hospitali na uchungu hata elfu 50 huna ya kuchangia huduma
Watanganyika acheni madeko tuwajibike
Hivi kama mwanaume unajisikiaje mkeo anafikia hatua ya kujifungua na wewe upo hai hujatoa hata 100?, halafu unataka mtoto awe u bin wako
Serikali imejenga hospitals, umeajiri waganga, wauguzi na wakunga, Kuna vifaa hata unaambiwa uchangie elfu 50 unaona si haki, hadi kupiga simu Kwa mkuu wa mkoa
Hata Mimi ningekuwa mkuu wa mkoa Nina hakika ningempa jibu kama la Chalamila
Haiwezekani serikali ikufanyie kila kitu aisee
Huko kwenye elimu ndo balaa, wazazi walivyoambiwa elimu Bure, hawawajibiki Kwa lolote, anatamka asbh mtoto anamtuma shule
Hawa Watanzania Magufuli alivowaita wanyonge wanashangilia eti anawapenda, kupenda Bure ni kudumaza na kujidhalilisha
Mzazi hajui hata bei ya kitabu, akiombwa mchango wa masomo ya ziada, analalamika hadi Kwa Rais Samia, Sasa hizi akili za wapi?
Watanzania tujikumbushe wajibu wetu