Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,445
Hawana faida, wale ni ndugu, na ndugu wagombanapo shika jembe ukalime, sisi tumeamua kushika jembe tukalimeSijui kwanini kichwa cha habari na maelezo naona kama mtiririko haupo.
Sijawahi kusikia wala kusoma kabila moja wakipigana kwa zaidi ya miaka ishirini bila suluhu kwa karne hii ya sasa. Nafikiri wasomali wana matatizo tena makubwa.
Kuwaingiza EAC sio sawa kwa sasa. Wana safari ndefu sana wao wenyewe ya kupatana. Haingii akilini kabila moja mpigane kwa sababu ya ukoo tofauti miaka nenda miaka rudi.
Jumuiya zote duniani huwa ni kwa sababu ya faida na umoja. Sidhani kama Somalia wataleta faida na umoja. Sidhani.
KheFursa muhimu imepotezwa na viongozi wetu. Kuwaleta wale katika EAC baadaye,gharama itakuwa kubwa sana. Kwa jinsi officials wa Wizara ya mambo ya nje walivyokuwa wanaongea,ni bahati kwamba hata hiyo S Sudan ilifanikiwa kuingia EAC. Ulaya,hasa nchi za Scandinavia,zinapinga uwepo wa majeshi ya kigeni Somalia. Kama majeshi yanahitajika to keep off Al Shabbab,basi Al Shabbab ndio viongozi halali wa Somalia.