Nashauri Waziri Kivuli wa mambo ya Ndani (ACT) aandae Muswada wa kupendekeza DCI Iwe Ofisi Huru nje ya Jeshi la Police!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,165
164,639
Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani kutokea ACT wazalendo peleka pendekezo bungeni ofisi ya DCI iwe Huru kama alivyo DPP

Hii itaboresha utendaji wa Taasisi za Haki

Jumaa Mubarak 😃😃
 
Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani kutokea ACT wazalendo peleka pendekezo bungeni ofisi ya DCI iwe Huru kama alivyo DPP

Hii itaboresha utendaji wa Taasisi za Haki

Jumaa Mubarak
Nadhani pamoja na Mambo mengine hoja yako inatokana na Polisi kukamata watu inaoamini wameikosea. Kwa Hali ilivyo Sasa kumbe ukikosana na Askari Magereza ukamatwe upelekwe jela moja Kwa moja.
HOJA YAKO INA HOJA.
 
Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani kutokea ACT wazalendo peleka pendekezo bungeni ofisi ya DCI iwe Huru kama alivyo DPP

Hii itaboresha utendaji wa Taasisi za Haki

Jumaa Mubarak
BUNGE HILI NI LA CCM HALINA KAMBI YA UPINZANI
HUYO WAZIRI KIVULI ANATOAKA WAPI?Boss tumia akili kidogo
 
Back
Top Bottom