Nashauri serikali ijenge barabara ya mwendo kasi ambayo ita-charge hata Tsh 1000 kwa Km 1, ila speed isipungue 150 kwa saa

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,189
6,441
Unajua kutumia ndege kunachosha sana. Binafsi nmepanda ndege kwa safari mara nyingi kuliko hata kiwango ambacho nimetembea kwa miguu kwenda umbali wa kms 5.

Mpaka inachosha.sioni jipya kwenye hizi ndege. Last week nlikuwa naenda Dodoma nikaona niende na Range Rover nisitumie ndege ili pia nipate ku enjoy mazingira.

Actually wazo hilo nililipata asubuhi tu maana tayari nlikuwa na ticket ya ndege nikaamka nikawaza why dont iIuse my car? Basi nikarudisha ticket kwenye kabati nikapanga nguo zangu nikawasha gari ndo nikaanza ondoka.

Shida ilianzia maeneo flani hivi Mbezi kulikuwa na congestion moja ya ajabu sana mwendo ulikuwa kama tupo kwenye matembezi ya mshikamano, toka saa mbili nakuja fika Morogoro saa saba.

Barabara zimejaa traffic na sheria za mwendo usiozid 50 kms. Huwezi imagine nimefika Morogoro muda ule ule kama Vitz, Rav4, Harrier, Nissan zilizofika. Inaumiza sana. Gari yangu Range Rover nliyotumia ina speed 240+ inafika muda sawa na usafiri wenye speed 180.

Hii barabara nadhani imeshashindikana. Mi nashauri serikali ijenge barabara ya mwendo kasi ambayo hiyo iwe ina charge hata tsh 1000 per km ili sisi wengine wenye magari tuwe tunatumia hiyo. Na kunakuwa na sheria kuwa ukitumia hiyo barabara speed isipungue kms 150 kwa saa.

Hii itasaidia hata sisi wenye magari yetu tuwe tuna enjoy maana inaudhi sana unasoma kwenye dashboard kms 240 ila njiani vimejaa vibao kuwa usizidishe speed kms 50 kwa saa. Unawaza hizi speed 190 unamwachia nani?

Huwa nawaza, je haitafikia hata gari zikaanza kuzoea kutembea speed ndogo kiasi uki engage mpaka 160 inagoma?

Serikali itengeneze barabara za mwendokasi zitakuwa pia ni chanzo kizuri cha mapato. Kama lile daraja la baharini la Salenda tuwe tunalipia 10,000 kwa siku ili sasa watu wasije wakawa wanajazana kule na kusababisha foleni.

Nashauri hata lile daraja la Ubungo kwenye junction tuwe tunalipia hata tsh 5,000 tu kwa mpito mmoja.

Kila napokuwa barabarani niwe na Range, BMW, GMC, Benz au VW nikiona hizi Toyota, Nissan, Isuzu, Subaru naumia kuwa zinafika safari moja na mimi ninayeendesha RR au BMW? Naona kama gari zangu zinakuwa ktk kundi moja na huo usafiri wa umma wa kitanzania. Si sahihi.
 
Nakumbuka ulisema wale polisi pale fire uliwapa laki tano kwanini na hao usiwape ata laki moja moja za ku brush viatu😂
 
Unajua kutumia ndege kunachosha sana. Binafsi nmepanda ndege kwa safari mara nyingi kuliko hata kiwango ambacho nimetembea kwa miguu kwenda umbali wa kms 5.

Mpaka inachosha.sioni jipya kwenye hizi ndege.last week nlikuwa naenda Dodoma.nikaona niende na Range Rover nisitumie ndege ili pia nipate ku enjoy mazingira.

Actually wazo hilo nililipata asubuhi tu maana tayari nlikuwa na ticket ya ndege nikaamka nikawaza why dont i use my car? Basi nikarudisha ticket kwenye kabati nikapanga nguo zangu nikawasha gari ndo nikaanza ondoka.

Shida ilianzia maeneo flani hivi Mbezi kulikuwa na congestion moja ya ajabu sana mwendo ulikuwa kama tupo kwenye matembezi ya mshikamano.
toka saa mbili nakuja fika Morogoro saa saba.

Barabara zimejaa traffic na sheria za mwendo usiozid 50 kms. Huwezi imagine nimefika Morogoro muda ule ule kama vitz,rav4,harrier,nissan zilizofika. Inaumiza sana. Gari yangu Range Rover nliyotumia ina speed 240+ inafika muda sawa na usafiri wenye speed 180.

Hii barabara nadhani imeshashindikana.mi nashauri serikali ijenge barabara ya mwendo kasi ambayo hiyo iwe ina charge hata tsh 1000 per km. Ili sisi wengine wenye magari tuwe tunatumia hiyo. Na kunakuwa na sheria kuwa ukitumia hiyo barabara speed isipungue kms 150 kwa saa.

Hii itasaidia hata sisi wenye magari yetu tuwe tuna enjoy.maana inaudhi sana unasoma kwenye dashboard kms 240 ila njiani vimejaa vibao kuwa usizidishe speed kms 50 kwa saa. Unawaza hizi speed 190 unamwachia nani?

Huwa nawaza je haitafikia hata gari zikaanza kuzoea kutembea speed ndogo kiasi uki engage mpaka 160 inagoma?

Serikali itengeneze barabara za mwendokasi zitakuwa pia ni chanzo kizuri cha mapato. Kama lile daraja la baharini la salenda tuwe tunalipia 10,000 kwa siku ili sasa watu wasije wakawa wanajazana kule na kusababisha foleni.

Nashauri hata lile daraja la ubungo kwenye junction tuwe tunalipia hata tsh 5,000 tu kwa mpito mmoja.

Kila napokuwa barabarani niwe na Range, BMW,GMC ,Benz au VW nikiona hizi Toyota,Nissan,Isuzu,Subaru naumia.kuwa zinafika Safari moja na mimi ninayeendesha RR au BMW? Naona kama gari zangu zinakuwa ktk kundi moja na huo usafiri wa umma wa kitanzani. Si sahihi.
Mkuu umesomeka. Inakera sana. Bariadi maswa barabara mpya umbali wa km 50 tu, kuna tochi mbili
Acheni hizo
 
Back
Top Bottom