Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,038
- 4,752
Nampongeza Mhe. Rais kwa kuunda kamati ya kufanya mapitio ya mfumo wa kodi nchini.
Natambua wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda, migodi na maeneo mengine ya uwekezaji watakuwa respondent kwenye kamati lakini nashauri kwenye timu ya wajumbe wawepo pia.
Wanaolalamika ni wafanyabiashara na hivyo unapotaka kufanya utafiti na kuandika facts tunapaswa kuwapa nafasi pia.
Lakini pia jambo la kodi lina mirengo miwili, kuna kodi za ndani na kuna kodi na mazingira ya kibiashara ya kimataifa. Kwa maana hiyo wanaopaswa kufanya tathmini ya kodi siyo watanzania pekee bali wageni pia kulingana na uwekezaji wao wanapaswa kushiriki.
Nimeona timu, imejaa watumishi wa umma na ikakosa watu wenye business mind. Naamini kwa muundo bora wa tax reform tuone pia namna wafanyabiashara na wawekezaji watakuwa sehemu ya tume na sehemu ya kamati ya wataalamu.
Once again, nimpongeze Mhe. Rais kwamba mambo mengi anayofanya yamekaa kitaaluma na yanalenga kubomoa na kuunda sera zetu kuendana na mahitaji ya miaka ijayo. She working hardly on doing oway with traditional ways of running government to modern ways of copying with changing global dynamics