Nashauri coach Gamondi atupishe

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
7,336
17,550
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,
Napendekeza Gamondi apishe fasta
Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda

1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja.
Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass,
Ukimbana hapo hafurukuti.
Hataki kutumia winga, amewakataa mawinga wote wote akina Morrison na Jesus Morocco.

2. Anaua vipaji vya wachezaji
Haifanyi rotation
Kibwana beki kiraka anacheza kulia na kushoto
Leo Gamondi hamhitaji
Nkane ni winga,
Wapi akina Farid Musa

Hawezi management ya wachezaji
Kuna wachezaji wanajikuta mastaa hata wasiokuwa kwenye mazoezi laZima mechi wacheze
Lilikuwa jambo baya Diarra kuchelewa national team na kucheza mechi ya derby siku aliyowasili, japo tulishinda
Hii inawashusha morali makipa wengine
Aziz ki amekuwa mlevi na mtu wa kupenda mishangaza ya huko dar es salaam

5. Kocha wa viungo anawapa wachezaji mazoezi Gani?
Wanaumia mno
Mfano Yao. Amekuwa na miguu ya vioo

Nashauri Eng Hersi alete coach mpya haraka sana, laah sivyo tutapigwa na kupigika na vitimu vidogo

Eng Hersi dirisha dogo muondoshe haraka Musonda, huyu mchezaji ameshindwa kubadilika kabisa
 
2. Anajua vipaji vya wachezaji

Mechi mbili tu Bado tunasafari ndefu kama taifa
 
Mashujaa bingwa
 
Hehehehe naona sasa mstari umegeuka, wa mwisho amekuwa wa kwanza.

Anyways, Simba Bingwa.
 
Nahisi kama Kuna ukweli ndani yake ,ukiangalia Kwa makini Yanga now days inatumia nguvu nyingi sana kupata matokeo na ni kama Kila timu zimejua tactics za Yanga na simply wakipaki basi hakuna goals,wachezaji wako busy kutafuta direct penetration kwenye msitu wa wachezaji hakuna cross za gombania goal
 
Hii Yanga nikiichukua Ngara fc
Naifunga vizuri tu
 
Back
Top Bottom