Nashauri Baraza la Mawaziri litumbuliwe.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Rais amesema hakuna njaa, vyombo vya habari Leo vinaonesha magala ya chakula kuashiria kuna njaa. Sasa kuna nini nyuma ya pazia kinachoendelea, Nani ni mshauri mkuu wa Rais? Je, inaweza kuwa ni propaganda?

Kwa kuwa sehemu ya ushauri kwa Rais ni Baraza la Mawaziri. Na Mawaziri ndio washauri wakaribu wa Rais, je Mawaziri ina maana hawaoni mambo yanayoendelea? Je inaonesha wamekubali serikali yao ianguke?

OK, Bunge hili nategemea kusikia;

1. Faru john
2. Bomoa bomoa
3. Mkanganyiko wa njaa na ukweli halisi.
4. Kufutwa std 7 na kuwa std6.
5. Ajira mpya na ulinganifu wa walimu wa Sanaa.

Deogratius Nalimi Kisandu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…