TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Kwa jinsi ambavyo Wabunge wanavyomshambulia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, haihitajiki elimu ya chuo kikuu kuamini kuwa Wabunge ni vigogo wa Biashara ya Dawa za Kulevya.
Kutoka vinywani mwa Wabunge wenyewe wametamka kwa nyakati tofauti kuwa Bangi haina madhara, kwamba wafanyabiashara ya Dawa za Kulevya wengine wako Bungeni na maneno mengine ya aina hiyo.
Mbunge aliyewahi kusema Bangi haina madhara anapojitokeza leo na kuapa kupambana na RC Makonda kwa kisingzio kwamba RC amesema wanalala Bungeni ni kutaka kumtishia apunguze kasi ya Mapambano.
Hivi ikitokea RC Makonda amehojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge na adhabu yake ikawa ni kumtaka aombe radhi na akafanya hivyo, kiapo cha Mbunge kupamabana naye kitakuwa ndiyo mwisho wake? Kiapo hicho kililenga kuishia hapo?
Katika Sakata hili la Bunge na RC Makonda kuna Makundi matano ya Wabunge
1. Kundi ambalo ni wauza Unga
2. Kundi ambalo ndugu zao, viongozi wao wametajwa kuhusika na matumizi na biashara ya Dawa za kulevya
3. Wabunge wenye chuki na serikali ya awamu ya tano na wapambanaji wake
4. Wabunge ambao wanafuata mkumbo
5. Wabunge ambao wanajua umuhimu wa Kupambana na biashara ya Madawa ya Kulevya(hawa ni wachache sana)
Naombeni kujua yafuatayo:
1. Wabunge wanaposafiri nje ya nchi wanakaguliwa viwanja vyetu vya ndege na hata huko wanapokwenda?
2. RC Makonda akishamalizana na Bunge, Bunge litakuwa na nguvu tena ya kulaani biashara ya Dawa za kulevya?
NAPENDEKEZA:
1. Hawa Wabunge siyo miungu watu, hawako juu ya sheria, hawana kinga ya kutosemwa. Kama ambavyo wanavyomtaka RC Makonda ajieleze mbele yao, na sisi wananchi tuwatake kupitia Bunge lao watoe tamko wanavyolichukulia suala la vita ya dawa za kulevya
2. Sheria ya kuwa Diplomats wakati kupita viwanja vya ndege ilikuwa sheria ya kikoloni , sheria ya kuwepo kwa classes za watu. Tuondoe hiyo sheria ili Wabunge wapekuliwe wakati wanasafiri nje ya nchi. Hakika hii biashara itapungua
3. Wananchi tuandae maandamano ya kulaani Mashambulizi anayoyapata Paul Makonda kutoka kwa hawa ambao wenyewe walishajipambanua kuwa Madawa ya kulevya hayana madhara na kwamba wanaofanya biashara hiyo wengine wanao Bungeni
Hakika sasa naamini vita dhidi Dawa za kulevya ni Ngumu sana tena sana
Bunge lina Mapapa wa Biashara ya dawa za kulevya