Nasafisha sinks za choo, tiles bathroom, tiles toilet etc

Hamia miji mkubwa,hapo moshi madukani hautamake.

Tengeza vipeperushi nenda nyumba kwa nyumba ukiacha contact,ndani ya mwaka tu utakuwa milionea
 
Hamia miji mkubwa,hapo moshi madukani hautamake.

Tengeza vipeperushi nenda nyumba kwa nyumba ukiacha contact,ndani ya mwaka tu utakuwa milionea

Asante ndugu kwa ushauri coz ndo tuko kwenye maandilizi hayo na kuna mwenzangu yupo hapo
 
Mh! Hizi tafsiri za wale jamaa wanaofunga tai na kuongea saana kuhusu ujasiliamali. Huyu bwana anayesafisha vyoo ni mjasiriamali.
kivipi mkuu, ww unaelewa maana ya maana ya ujasiriamali?
Unaweza tofautisha mjasiriamali na mfanyabiasharaa?

maana wa Tz wengi tunayatumia haya maneno vibayaaa, mfanyabiashara wa vitenge au nguo za mitumba nae anajiita mjasiriamali.

Naomba unipe maana yako unayoijua
 
Kwani Mjasiriamali ni tofauti na Entrepreneur? Kama ni sawa basi mtu yeyote ANAYEANZISHA, KUSIMAMIA na KUENDESHA biashara ni Mjasiriamali.
 
Jamaa kaja kutangaza fursa aliyoiona hapa na wadau wamemuelewa, huo ufafanuzi wa mjasiliamali, muwekezaji, sijui mfanyabiashara atavikuta BRELA siku atakapoenda kujisajili
 
Jamaa kaja kutangaza fursa aliyoiona hapa na wadau wamemuelewa, huo ufafanuzi wa mjasiliamali, muwekezaji, sijui mfanyabiashara atavikuta BRELA siku atakapoenda kujisajili
Ni moja ya msaada pia, inawezakuwa sehem nyingine akalipia gharama kujua maana yake
 
Kwani Mjasiriamali ni tofauti na Entrepreneur? Kama ni sawa basi mtu yeyote ANAYEANZISHA, KUSIMAMIA na KUENDESHA biashara ni Mjasiriamali.
entrepreneur ndiye mjasiriamali.
Lazima utofautishe businessman na entrepreneur.
Bado haupo sahihi, km hujui bora uulizee
 
entrepreneur ndiye mjasiriamali.
Lazima utofautishe businessman na entrepreneur.
Bado haupo sahihi, km hujui bora uulizee
Hebu naomba uninukulie Tafsiri ya Entrepreneur kutoka Cambridge Advanced Learners Dictionary.
Baada ya hapo nitajua kama sijuwi then nitakuomba wewe unayejua kuwa unajua unijuze na mimi.
 
Hebu naomba uninukulie Tafsiri ya Entrepreneur kutoka Cambridge Advanced Learners Dictionary.
Baada ya hapo nitajua kama sijuwi then nitakuomba wewe unayejua kuwa unajua unijuze na mimi.
entrepreneur au mjasiriamali ni mtu anaye tengeneza bidhaa mpya yenye dhamani kwa kuangalia fursa zilizipo kutumia mda na juhudu zake vizuri pasipo kujali risk kwa lengo la kupata faida
 
entrepreneur au mjasiriamali ni mtu anaye tengeneza bidhaa mpya yenye dhamani kwa kuangalia fursa zilizipo kutumia mda na juhudu zake vizuri pasipo kujali risk kwa lengo la kupata faida

Imeshindikana kunukuu Dictionary ya kiingereza? lengo ni kupata tafsiri rasmi kutoka lugha asili ya neno halisi, entrepreneurship!

Entrepreneurship is the process of designing, launching and running a new business, i.e. a startup company offering a product, process or service. It has been defined as the "...capacity and willingness to develop, organize and manage a business venture along with any of its risks in order to make a profit. (wikipedia)

Huyu ndugu yetu amebuni, kaanzisha na anaendesha kampuni yake iliyojikita katia kusafisha vyoo tu (ni kitu kipya kwetu), lakini eti siyo mjasiriamali!! Hawa watu wanaofunga tai wanaoongea saaaana kuhuju ujasiriamali wanapotosha sana.
 
kusafisha vyoo ni kitu kipya? si kazi za usafi kama kazi nyingine?? inamaana na wafagia barabara ni wajasiriamali?
 
kusafisha vyoo ni kitu kipya? si kazi za usafi kama kazi nyingine?? inamaana na wafagia barabara ni wajasiriamali?
Hahahaaa, kama ni hivyo basi wajasiriamali hapa Tanzania hawafiki hata kumi kwa sababu hakuna jipya! Mjasiriamali hapo juu amechukua jambo la kawaida na kuliboresha kujipambanua baina ya wengine, jambo linaonekana geni. Hivyo vyoo unavyoviona hapo unafikiri vilikuwa havisafishwi? Lakini kwa nini aliposafisha yeye tu vimeng'aa? Mimi naifahamu kampuni moja tu inayofanya kazi ya kufanana na huyu bwana, tena wao wamebase kwenye concrete floor na "terazzo", siyo vyoo. Tukubali ubunifu wa wenzetu.
 
mkuu unataka useme yeye ndiye katengeneza hizo sabuni?
Kuna detergent nikikupa unaosha choo chako na hata tiles chafu kiasi gani.
Sema jamaa kaamua kuifanya kama kazi imuingizie kipato, hakuna ubunifu hapo
 
Kaka ni kutoelewa au basi tu, kwani yeye anauza sabuni? Hii huduma ni ngeni, mengineyo ubishi tu!
 
Kaka ni kutoelewa au basi tu, kwani yeye anauza sabuni? Hii huduma ni ngeni, mengineyo ubishi tu!
Ila kwako yawezakuwa ni mpya, lkn hiyo ni huduma km unavyoona waosha kucha kwa akina dada zetu, hakuna ujasiriamali wowote hapo
 
We blaza unatafuta league ya kubishana? Sasa akiitwa hilo jina na hafanyi hiyo kinakuuma nini wewe?
 
Ila kwako yawezakuwa ni mpya, lkn hiyo ni huduma km unavyoona waosha kucha kwa akina dada zetu, hakuna ujasiriamali wowote hapo
Hahahaa, kwa hiyo mtu akitoa huduma siyo entrepreneur?!! Hiyo tafsiri yako ya entrepreneur umeitoa wapi inakinzana na tafsiri rasmi ya kwenye kamusi.....kaazi kwelikweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…