sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 947
- 3,642
Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.
Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.
Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia kuboresha demokrasia na utawala bora.
Mama amefungua nchi na demokrasia inaonekana.
Mimi nitaghramia materials na designing.
Naomba tuungane tifanikishe ili jambo na mpendekeze tuuiite vipi hii tuzo?