Napenda sana kula mayai lakini sinenepi!


Mayai hayasaidii unenepe...kama uliambiwa ulidanganya...insue ni kucheza na calories
 
Ridhika,nafsi ikitulia aaaah utajinenepea,lkn km kila siku roho juu,hata ule nn...

Well said,mimi binafsi ni ushuhuda mzuri. Acha stress za bosi wako kazini, acha stress sa maisha, acha stress za wanawake/wanaume, ridhika kwanza na kidogo Mungu alichokupa while working hard for the best haki ya nani it took me only 3 months kubadilika mwonekano wangu.
 
Unakula trei la mayai kwa siku??, then hunenepi, unajua kula sana sio kunenepaa , labda unakula but huridhiki na hayo mayai jaribu kula machache kwa mpangilio then ridhika nayoo utaona kama hunenepi??

Ikishindikana sana jaribu katika kila mlo wako usisahau kutumia amila kidogo ili ku boost homoni
 
Hebu fafanua vizuri unakula mayai ya ndege gani? km vp jaribu mayai ya kenge aaaah!!!! nakuhakikishia fasta tuu ndani ya wiki moja utakuwa bonge nyanya
 
nan alikwambia mayai yananenepesha?afu unakula mengi hivyo?
utakuja kuyataga siku moja!!
 
Hujui maana ya kugain weight,endelea kula tray zima la mayai kwa siku utakuja kujuta!
 

Attachments

  • 1451653425663.jpg
    34.7 KB · Views: 66

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…