Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Bora akae kimya maana sasa watu wanaanza kumdharau, sababu ya kuondolewa kwake wananchi tunaijua ni kushindana na bashite mkoromijeHuyu bwana bado anautaka Uwaziri, hivi ni lazima uwe Waziri tu jamani?
Tumemchoka tuna mambo mengi muhimu ya kufanya,mwache amalize vyombo vyote vya habari utadhani ndivyo vilivyomteua,badala ya kuzurura aende jimboni kwake kuwasaidia wanajimbo wake kuwaletea maendeleo ,maendeleo hayaji kwa kuwa tu waziri hata ukiwa mbunge tu inatosha.Ameyasema hayo alipokuwa akihohojiwa na Azam TV na kusema alikuwa anajua kabla ya kuondolewa, na sababu za kuondolewa kwake haziwezi kusemwa zote na yeye wala waliomuondoa
Mjinga tu. mojawapo ya vitu alivyokoroga ni kutaka kuingiza z'bar mashirika ya michezo yanayoingiza uanachama nchi ambazo zina utaifa 'sovereign states'. kwa ushabiki tu wa kijingajinga angeingiza z'bar fifa olympic etc ambapo kwenye michezo ndio nchi inajitangaza umoja wake kama taifa.Ameyasema hayo alipokuwa akihohojiwa na Azam TV na kusema alikuwa anajua kabla ya kuondolewa, na sababu za kuondolewa kwake haziwezi kusemwa zote na yeye wala waliomuondoa
kwa kauli hii....Ahsukuru mungu ana ubunge,vinginevyo angekuwa kijijijni tiar
Aseme hizo sababu la sivyo akae kimya kama Kitwanga!Anachosema ni ukweli mtupu.
Ameyasema hayo alipokuwa akihohojiwa na Azam TV na kusema alikuwa anajua kabla ya kuondolewa, na sababu za kuondolewa kwake haziwezi kusemwa zote na yeye wala waliomuondoa