Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,624
- 3,652
Nape hakuchaguliwa na wapiga kura bali alipiga goli la mkono kwa msaada wa mapesa toka kwa Membe, mshindi wa lile jimbo alikuwa Messi lakini Uchakachuaji ukampora Ushindi wake.Wakati mwingine huwa najiuliza kwenye Tume ya Uchaguzi walibaini nini kwenye swala la kura walizopata wao ukilinganisha na zile za wapinzani maana hii hofu ya kuamua kutorusha Bunge live bila shaka ni matokeo tu ya jambo fulani.
Leo amelalamikiwa nabaadhi ya wabunge kuhusu bunge live pamoja serikali kuingilia mhimili wa bunge na baadhi ya maelezo aliyoyatoa yanamkanganyiko
Amedai kwamba nigharama nayeye hayuko tayari TBC imfie mikononi.Hapa swali la kujiuliza ni je mbona taasisi myingine binafsi zimekataliwa?
Amedai kwamba wananchi wanakua kwenye shughuli zao mfano wakulima,wafanyakazi na wapiga debe.Je serikali hii kumbe inawapa kipaumbele wapigadebe?
Nakuuliza Nape wakati unazunguka nchi nzima na kuwaita akina Kawambwa,Maghembe,nk mizigo kwenye mikutano ya hadhara kwani ilikua usiku au mchana na jua kali?
Akitoa ufafanuzi wa hoja ya Sugu amesema,upo mpango mkakati wa kuwafikishia wananchi matamgazo ya bunge kupitia simu za mkononi.Wakati fulani baadhi ya wanasiasa walidai sio watanzania wengi wanao miliki tv hivyo hata matangazo yasiporushwa kupitia tv athari sio kubawa.Ninauliza je watanzania wangapi wanamiliki simu zenye uwezo wakuonyesha matangazo ya bunge?
Ninamuona huyu jamaa kama mtu anaetakatu dhamira yake ya watanzania kutoona bunge itimie lakini kauli zake zinamkanganyiko
Nape nakukumbusha jifunze kwa Lukuvi kama njia ya mafanikio na jifunze kwa Wassira ili ujue ubaya wa kujiamini maana bungeni hayumo na anatamani pia kuona bunge kwa wakati na halioni
Bora asirudi aungane na Wassira aliyehakikisha hatupati katiba mpya na Mungu akamlipa
Mkuu tafadhali usitoe chozi kama yule mbunge.Hakuna bunge live hapa
Hakuna kuuza sura hapa
Nadhani wengine tungeendelea kutoa mipasho na wengine wawe mawaziri ingenoga sanaLeo amelalamikiwa nabaadhi ya wabunge kuhusu bunge live pamoja serikali kuingilia mhimili wa bunge na baadhi ya maelezo aliyoyatoa yanamkanganyiko
Amedai kwamba nigharama nayeye hayuko tayari TBC imfie mikononi.Hapa swali la kujiuliza ni je mbona taasisi myingine binafsi zimekataliwa?
Amedai kwamba wananchi wanakua kwenye shughuli zao mfano wakulima,wafanyakazi na wapiga debe.Je serikali hii kumbe inawapa kipaumbele wapigadebe?
Nakuuliza Nape wakati unazunguka nchi nzima na kuwaita akina Kawambwa,Maghembe,nk mizigo kwenye mikutano ya hadhara kwani ilikua usiku au mchana na jua kali?
Akitoa ufafanuzi wa hoja ya Sugu amesema,upo mpango mkakati wa kuwafikishia wananchi matamgazo ya bunge kupitia simu za mkononi.Wakati fulani baadhi ya wanasiasa walidai sio watanzania wengi wanao miliki tv hivyo hata matangazo yasiporushwa kupitia tv athari sio kubawa.Ninauliza je watanzania wangapi wanamiliki simu zenye uwezo wakuonyesha matangazo ya bunge?
Ninamuona huyu jamaa kama mtu anaetakatu dhamira yake ya watanzania kutoona bunge itimie lakini kauli zake zinamkanganyiko
Nape nakukumbusha jifunze kwa Lukuvi kama njia ya mafanikio na jifunze kwa Wassira ili ujue ubaya wa kujiamini maana bungeni hayumo na anatamani pia kuona bunge kwa wakati na halioni
Bunge live liliwatikisa sana mwaka jana ndio maana wanahofu sana hawa ccmWakati mwingine huwa najiuliza kwenye Tume ya Uchaguzi walibaini nini kwenye swala la kura walizopata wao ukilinganisha na zile za wapinzani maana hii hofu ya kuamua kutorusha Bunge live bila shaka ni matokeo tu ya jambo fulani.
pumoja sana,nakuunga mkono kwa 100%Mkuu Mungu ashuke leo na aulizwe rais wa Tanzania ni nan? Atakujibu ni Lowasa! Kwan yeye ndie anaemjua, na ndo mana sita poteza mda au saut yangu kumwombea kiongoz mwingne zaid lowasa coz nilipiga goti nakamwombu Mungu atupe kiongozi, Mcha Mungu, Mkweli, mwenye hekima na Upendo utokao ndani ya Moyo wake na c upendo utokao usoni, Mungu alinijibu vema kabisa coz Mungu wangu hajawai danganya, na akatupa Edward Ngoyai Lowasa, hakika Mungu azid kukubariki kwa baraka zote za rohon, Akilin na Mwilin
kwa katiba iliyopo?????????Usipate presha 2020 Lowasa atakuwa Rais