Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Ni kauli ya Waziri hiyo na ukizidi kuhoji utajibiwa kwamba hapa "nimesema kama mwananchi tu na sio Waziri maana na mie nina haki binafsi ya kutoa maoni yangu"Hiyo ni kauli ya waziri au shabiki wa music
Huyu nae hana kazi za kufanya hivi unaweza kupata mda wa kujadili ujinga kama huu..Waziri!!hata katibu mkuu wake sio level yake...Huyu jamaa anastahili kuendelea kuwa msemaji wa chama ndo inamfaaWaziri wa sanaa na michezo Nape Nnauye amesema anahisi mashabiki wa upande wa Ali Kiba ndio walikuwa wakiponda kuhusu Diamond kupewa bendera kwa sababu kumekuwa na uhasama na chuki kati ya pande hizo mbili, yeye binafsi amedai hana tatizo na msanii yoyote kati ya hao wawili na wamekuwa marafiki zake kabla hata hajawa waziri
Na ndio haohao mashabiki wa Ali Kiba wanaodai Tanzania kuna njaa wakati kila siku wanakula chips mayai. Wabishi sana.
He is very right on the crux of the issue.
The flag belongs to all Tanzanians and it's not unlawful to take it anywhere you want.
ile bendera iliyotandikwa chini ??