GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?
===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture lazima tuipige vita vinginevyo hatuwezi kutoka, na ni kupitia kazi, watu wasifikiri kuna mjomba atakuja mahali akuletee maendeleo ya maisha yako. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi zao.” – Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Pia soma=> Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo