Nape Mgeni Rasmi Kwenye Hafla ya Clouds Tv Escape One

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa chaneli ya Clouds tv ndani ya Dstv pale Escape one usiku wa leo. Clouds tv sasa inapatikana ndani ya Dstv kupitia chaneli namba 294.

My take: Hizi ndizo shughuli anazozimudu Nape.
 
Acha akasokotwe,Akija kustuka matangazo yote ya serekali yapo chini ya kusaga.
Sema yote ni mi Ccm acha izikane
 
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa chaneli ya Clouds tv ndani ya Dstv pale Escape one usiku wa leo. Clouds tv sasa inapatikana ndani ya Dstv kupitia chaneli namba 294.

My take: Hizi ndizo shughuli anazozimudu Nape.

RAI Yangu Tu Kwao WAKUMBUKE PIA NA KWENDA KUMTEMBELEA MKE WA MTANGAZAJI MWENZAO MAARUFU NA MKONGWE SANA HAPO AMBAYE YUPO I.C.U Kwa Tatizo Lile Lile La Kupiga Solo Guitar La " Dally Kimoko ". Naomba Niishie Hapa!
 
Kiongozi umetumia mafumbo sana humu JF we dare to speak
 
Naona sasa hivi wameanza kuwa na adabu na taasisi ya urais maana hapo zamani za kale ungesikia kitu kama hii mkulu ndio anaenda kuzindua
 
Hawa Majamaa wajanjawajanja tuuu...

Hacha wapige pesa za wazembe wazembe
 
Back
Top Bottom