Nape alifukuzwa umoja wa vijana wa CCM kwa kunyang'anywa uanachama

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Kama mtakumbuka Miaka ya nyuma kidogo Nape alisababisha vurugu kubwa sana pale umoja wa vijana akiwa mjumbe wa baraza kuu la UVCCM hadi akavuliwa uanachama, Records zipo.

Baada ya muda mrefu kidogo J.K akampa ukuu wa wilaya ya Nanyumbu. Ikumbukwe kuwa marehemU mzee Nnauye na Kikwete Jakaya walikuwa marafiki sana na Kikwete na Mzee Makamba na Nnauye hawakukutana barabarani. Walikutana Singida wakati Kikwete ni katibu wa CCM, Makamba ni katibu tarafa na Nnauye alikuwa nani sijui, nimesahau.

Kwanini nimekumbusha haya?
Ni kwamba Nape alikuwa bado anaamini kuwa anafanya kazi na baba zake walezi kwa hiyo amesahau hizi ni zama zingine.

Namuomba Nape sasa atulie. Atulize kichwa. Kila zama na kitabu chake.
 
Yaaani umeandika pumba tupu na umeonesha ujinga na ujuha wako nape anakosa gani kubwa alilo lifanya ndan ya ccm? Kuweka ukweli wa uvamizi wa bashite ?? Mbona CCM ni chama kinacho peenda uongo kila siku?? Kimegeuka kuwa chama cha kihuni sana sasahivi
 
Ndugu unaishi dunia gani? Mambo ya kukariri yamepitwa na wakati hii ni dunia ya uwazi na ukweli na sio kuogopana nakushauri badirika ndugu bila hivyo utaonewa kila siku na kuwa mtumwa kwenye nchi yako
 
Si Nepe alipiga nyeto jamaa kuingia magogoni ? Au goli la mkono lilikuwa lipi ?
 
Nape alikuwa mtu wa kwanza kufukuzwa uanachama UVCCM. SINA RECORD NYINGINE KWA MWANACHAMA KUFUKUZWA UANACHAMA. NA UKIONA UMEFUKUZWA UANACHAMA INA MAANA WEWE UNA MATATIZO. NAPE ATULIZE KICHWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…