Napatwa na hasira na munkari nikiona mwanaume amevaa hereni

Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
Kaa nao mbali tu mkuu, sasa sijui ukikutana na wa mchele mchele utajiskiaje?
 
Je siku ukikutana na hawa itakuaje?

Au hawa
IMG_4137.jpg
 
Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .

Hii hasira unaipoteza, peleka ku solve matatizo yako, hao wenye hereni hawana shida kama ulizo nazo wewe
 
Back
Top Bottom