Napata wapi spray na lotion hizi kwa bei nafuu (bei ya jumla)

2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
211
79
Wakuu hbr za mida, naomba kujuzwa wanapouza spray hizi kwa bei ya jumla,maana nilichukua Zanzibar kwa sh 4000@spray na sh 7000@lotion kwa jumla. Sasa sijajua kwa huku Dar wapi naweza kupata kwa bei hiyo au nafuu zaidi.

Mariam (spray)
Nafisa(spray)


Mariam (lotion)

Nafisa (lotion)
Khashab&oud (spray)

Khamsa(spray)
Romancea(spray)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…