Sawa kaka nimekupata nashukuru kwa ushauriNjia nzuri ni kuanza kujifunza kupitia ya YouTube, halafu utafute mtu au watu ambao tayari wako kwenye industry ya photography na graphics design wakupe ujuzi zaidi. Ikiwezekana mtafute mtu instagram umuombe uwe msaidizi wake ushike hata reflector