Naota napigana nashtuka nmepiga ukuta damu zinatoka mkononi. Tatizo nn

Hilo tatizo naona ni la wengi, hata Mimi huota napigana au najipapatua kwenye ugomvi Sasa hua narusha mateke na anaekuwa karibu yangu lazima apate mateke ya kutosha lakini hutokea mara chache sana, mara nyingi ikiwa nimelala nimechoka sana, Jana Kuna mshkaji wangu ameniambia aliota wanagombana na Masai Sasa Masai katoa RUNGU lake kutaka kumpiga hajui Nini kilitokea lakini asubuhi kaamka kichwa kinamuuma anasema itakuwa lile RUNGU la Masai, Mimi nimemwambia itakuwa katika kujitetea RUNGU lisimpate kule usingizini amejigonga na kitanda ndio maana kichwa kinauma. Ni mtazamo wangu tu lakini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom