Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,177
Nimefiwa na ndugu yangu mwaka umepita.
Sasa naota usiku ananitokea akifurahia maisha yangu ya mahangaiko au akiona nami kufa siku zijazo! Mara kadhaa tunapigana sana.
Yote hayo hutokea kwenye ndoto. Wakati wa uhai tulikua marafiki japo alidai zaidi ya nilivyoweza.
Nitafanya nini niepuke ndoto hizi. Hii ni ndoto ya sita ananitokea akiwa ananisanifu.