Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 472
- 1,143
Leo Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyeketi wa CHADEMA ametangaza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho.
So sifahamu kama Freeman Mbowe naye atatangaza nia ya kugombea nafasi hiyo na kama akitangaza nia hiyo basi naona ndani ya CHADEMA moto wa kisiasa utawaka sana.
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Naona pia kunaweza kutokea matabaka makubwa kwa muda mrefu maana leo nimeona nguvu ya Lissu ni kubwa sana na wanachama wanaonyesha wanatamani zaidi Lissu kuwa mwenyekiti mkuu wa CHADEMA.