khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,131
- 1,365
Hawa ni baadhi tu ya wanaume waliotikisa na kuendelea kutikisa baadhi ya maeneo hapa dunia katika kizazi hiki cha 2000, Ni baadhi tu na nitakuja kushusha nondo zao hivi punde, na kama wewe pia unafahamu baadhi ya wengine basi karibu hapa tuweke picha zao na wanayofanya (ubabe) kwa maslai ya taifa na wananchi wao 🙏
Hivi ulishawahi kujiuliza the late CHRISTIAN MALANGA MUSUMARI kama angekuwa hai hadi leo hii na HUYU KAKA MKUBWA WA KUITWA "CORNEILLE NANGAA YOBELUO" ingekuwa vipi huko congo?
Ingekuwa vipi na muunganiko wa baadhi ya vikundi hivi TWIRANEHO, MAIMAI na vingine vinavyounda kwa pamoja M23?
VITOTO VYA 2000 vinafurahi sana kuwaona hawa watu wakifanya unyama kwa maslai mapana ya wananchi wao 🫡, VITOTO VYA 2000 bado vinafurahi na hadi kuthubutu kuchukua picha za CAPT. IBRAHIM TRAORE na kuweka profile kwenye baadhi ya kurasa zao za mitandao ya kijamii kama instagram, facebook hadi huko X na hapa ndani JamiiForum 😃
UZI BADO HAUJAIVA HUU, bado kuna mwamba BARBECUE JIMMY CHERISIER...... Ebu turudi nyuma hapo kwa CHRISTIAN MALANGA homeboy aliyeongoza wahuni wenye silaha kali hadi kufika ikulu kwa kutaka kufanya jaribio la kumpindua Rais TSHISEKEDI! 🇨🇩, ebu imagine MALANGA na wahuni wake walifanikiwa kufika hadi ikulu, vipi kuhusu bwana mkubwa CORNEILLE NANGAA na hii M23 😃 🇨🇩 😀
VITOTO VYA 2000 vinacheka UZI BADO HAUJAIVA HUU ✍🏾