Habari wakuu, naomba msaada wa mawazo.
Bado nipo chuo kikuu, mwakani na maliza masomo mwakani. Nimepata mawazo hapa kuwa baada ya kumaliza masomo apo mwakani nipitilize veta kuchukua kozi hata moja. Sasa naomba kuuliza kozi ipi veta ipo marketable...