Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Habari wakuu, naomba msaada wa mawazo.
Bado nipo chuo kikuu, mwakani na maliza masomo mwakani. Nimepata mawazo hapa kuwa baada ya kumaliza masomo apo mwakani nipitilize veta kuchukua kozi hata moja. Sasa naomba kuuliza kozi ipi veta ipo marketable.
Educational status
Olevel division one of 17
Advance division two of 12
Chuo kikuu hivi sasa nasoma bachelor of science with education ( biology and geography)