hii ni gari ilitengenezwa maalum kwa soko la ulaya ....nimeimiliki kwa miaka almost miwil na spear zake nyingi inashare na toyota wish , upande wa coil , ndio huwa kikohozi na kuzima zima ghalfla sababu kwa sehemu kubwa mfumo wake ni umeme , inahitaji usmart na kutounga wire directWakuu habari za wakati huu,
Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya hii gari
Natanguliza shukurani
Ubarikiwe sana mkuuhii ni gari ilitengenezwa maalum kwa soko la ulaya ....nimeimiliki kwa miaka almost miwil na spear zake nyingi inashare na toyota wish , upande wa coil , ndio huwa kikohozi na kuzima zima ghalfla sababu kwa sehemu kubwa mfumo wake ni umeme , inahitaji usmart na kutounga wire direct
Ni vizuri kupata muongozoooTunasubiri,chums naziona tu hapa mjini.