Habarini wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,hizo aina mbili tajwa hapo juu, ni gari ambazo huwa naziona barabarani na nimetokea kuzipenda Kwa muonekano wa nje.
Kwasasa natumia Toyota Premio ambayo kiukweli naifurahia kuanzia consumption ya mafuta hadi issue ya vifaa vyake viko cheap and available changamoto ni kwamba iko chini, sasa natamani kununua gari nyingine ya juu kidogo.
Nimekuwa nikiziona hizo gari tajwa hapo,naona ziko juu na pia hata bei yake unaweza pata Kwa below 30M.
Naomba Kwa yoyote mwenye kujua changamoto ya hizo gari anijuze tafadhali, ili pia Mimi na mwingine yoyote azitambue ili aepukane na maamuzi ya kujutia Kwa kutokujua.
Natanguliza Shukran (Kabla ya kuziona hizo Mitsubishi tajwa mawazo yangu yalikuwa Yako kwenye Subaru Forester Tx)