jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,107
- 6,772
Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu ya kwanza nilipe Milioni moja na laki tatu, Baada ya mshenga kuwaambia hivyo Baba mkwe akajibu haiwezekani kulipa kwa awamu tatu anataka Mahari ilipwe kwa awamu mbili na tuseme awamu ya mwisho tutalipa lini, Mimi kiukweli kulipa kwa awamu mbili ni ngumu.
Sass hivi nipo naumiza kichwa.
Sass hivi nipo naumiza kichwa.