Mkuu akuna kisa chochote sema yeye alikuwa anakimbiza watu walio kuwa wanasherekea akaja kunivamia mimi na kunishambuliaPole sana ndugu yangu...kama kweli unacholeza ni ukweli maana hii ni version ya story ya upande wako tu...kinachowezesha ushinde au ushindwe kesi ni ushahidi tu, Leta mashahidi wako waeleze mkasa mzima udhibitishe shtaka lako pasipo kuacha mashaka yeyote.
Na swali lingine la kujiulize kwanini akupige mapanga tu...katika hali ya kawaida mtu awezi ona imefika saa sita usiku mwaka mpya akasherekea kwa kimpiga jirani vyovyote vile kuna kisa kilianza...hujatueleza ilikuaje akaanza kukupiga mapanga...wewe ulikua wapi na nani...mnafanya nini...
Kweny kesi yako ni ya jinai na MTU yeyote anayefanya kosa LA jinai inamaan ametenda kosa dhid ya jamhuri Kwa hyo kama mtuhumiwa amekana kosa lake hlo ni assault contrary to section 241 of penal code cap 16 R:E 2002( shambulio kinyume na kifungu cha 241 cha sheria ya makosa ya jinai sura ya 16 kama ilivyo rejewa 2002 ) kama mtuhumiwa amekana kosa lake kilicho baki ni jamhuri kuthibitisha beyond (reasonable doubt) kuthibitisha pasipo mashaka na ww Kwa jamhuri unakuwa kama shahid tu Kwa hyo hapo kitakacho kufanya ushinde kesi yako ni ushahid wa kuthibitisha hlo kosa,,kama ukishindwa kuprove wakat yeye AME plead no guilty u have to prove beyond reasonable daoubt ukishindwa mthumiwa atakuwa hana kes ya kujibu chini ya kifungu 230 cha sheria ya makosa ya jinai. Kwa hyo atakuwa huru.kisheria tunaita AUTREFOIS ACQUITY ,,Ila kama hauna shahid uiombe mahakama kwamba ww mwenyew shahid ,utaelezea jinc tukio lilivyo tokea lakn Mara nyingi sana ushahid huo unakuwa hauna nguvu sana mbele ya sheriaTerehe 1/1/2017 saa sita usiku nilipigwa mapanga na jirani yangu sababu tulikuwa tunasherekea mwaka mpya. Mtuumiwa baada ya kunijeruhi alikimbilia kwa mwenyekiti na kuripoti amevamiwa kitu ambacho si cha kweli.
Kwanza mtuhumiwa hakunipigia nyumbani kwake amenipiga mapanga njiani nyumba ya pili kutoka kwake. Mimi baada ya kuumia tulienda kuripoti kwa mwenyekiti kabla yake, baada ta hapo tulienda polisi kuchukua PF3 kwa ajili ya matibabu. Mtuhumiwa alikimbia pasipojulikana, baada ya week mbili alirudi nyumbani kwake kwa kubeep. Tulipoenda na polisi mpelelezi hatukufanikiwa kumuona mtuhumiwa.
Siku inayofuata mtuhumiwa alijipeleka polisi na ndugu zake. Yule polisi mpelelezi akanipigia simu mtuhumiwa amejileta kesho njoo polisi. Siku inayofuata nikaenda, cha ajabu nikagundua mtuhumiwa na polisi ni marafiki. Siku moja baada ya kukamatwa mtuhumiwa tukaambiwa twende mahakamani tukaenda. Mtuhumiwa amekataa na kusema hakunijeruhi, mahakama imenianbia niende na mashahidi.
Je nifanye nini ikiwa mtuhumiwa janja janja. Naombeni mawazo yenu wakuu!
Nimekuelewa mkuu mashaidi wapo jinsia mbili tofauti pia muahilifu baada ya kunijelui mapanga alienda kutowa taalifa kwa mwenyekiti kuwa kunabmtu amemjeluiKweny kesi yako ni ya jinai na MTU yeyote anayefanya kosa LA jinai inamaan ametenda kosa dhid ya jamhuri Kwa hyo kama mtuhumiwa amekana kosa lake hlo ni assault contrary to section 241 of penal code cap 16 R:E 2002( shambulio kinyume na kifungu cha 241 cha sheria ya makosa ya jinai sura ya 16 kama ilivyo rejewa 2002 ) kama mtuhumiwa amekana kosa lake kilicho baki ni jamhuri kuthibitisha beyond (reasonable doubt) kuthibitisha pasipo mashaka na ww Kwa jamhuri unakuwa kama shahid tu Kwa hyo hapo kitakacho kufanya ushinde kesi yako ni ushahid wa kuthibitisha hlo kosa,,kama ukishindwa kuprove wakat yeye AME plead no guilty u have to prove beyond reasonable daoubt ukishindwa mthumiwa atakuwa hana kes ya kujibu chini ya kifungu 230 cha sheria ya makosa ya jinai. Kwa hyo atakuwa huru.kisheria tunaita AUTREFOIS ACQUITY ,,Ila kama hauna shahid uiombe mahakama kwamba ww mwenyew shahid ,utaelezea jinc tukio lilivyo tokea lakn Mara nyingi sana ushahid huo unakuwa hauna nguvu sana mbele ya sheria
Sio mlevi wqla nini ila sema ana roho mbaya tuu na mimibsiobwakwanza kunijeluiUngetupatia walau historia ya huyo jamaa upande wa matukio, maana kama ni jirani yako lazima unamfaham vizuri tu.
je! ww na huyo jirani ya ko mlikuwa ktk hali gani? walevi au?
Jaribu kuwa muwazi ili upate ushauri ulio kamilika.
KW hyo shahid mojawapo n mwenyekiti?Nimekuelewa mkuu mashaidi wapo jinsia mbili tofauti pia muahilifu baada ya kunijelui mapanga alienda kutowa taalifa kwa mwenyekiti kuwa kunabmtu amemjelui
Una uhakika anaweza ongea ukweli juu ya tukio hlo? Maan asije akapewa hela akakugeukaNdio
Omba Mungu, kuwa tayari kwa matokeo yoyote, usitoe rushwa kuahidiwa ushindi kwenye hiyo kesi. Maana hapo ulipo umeshapata kilema I mean kovu.Sawa ndugu je nifanyaje mkuuu