mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu.
Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa inanifanya nikose amani, ngozi ina upele na inawasha sana. Naombeni msaada wetu wa dawa mzuri za kutibu huu ugonjwa.
Asante sana