Naombeni msaada kuhusu kilimo cha Bamia, Hoho na Biringanya

hayolae

Senior Member
Sep 28, 2015
180
865
Natamani sana kuingia kwenye kilimo cha zao Kati ya haya.
1.Bamia
2.Hoho
3.Biringanya.
Nahitaji nianze kwa mtaji mdogo sana.
Hivyo naombeni msaada wa zao moja kati ya hayo juu, ambalo linatumia gharama ndogo na lenye faida.Pia nijue changamoto zake na jinsi ya kuzitatua.

Natanguliza shukrani.
 
Bamia,siku 55 utaanza vuna,utavuna kila baada ya siku mbili,vizia uanze kuvuna November Pana Bei nzuri kwa dar,ndogo ya Lita kumi utauza elf 8 mpaka 10,matuta mia utavuna ndoo 60 ndogo kwa mchumi mmoja
Ahsantee
 
Hoho itapendeza kama ukianzia kwenye kitalu Kisha aumishe Miche kwe bustani maana mbegu zake ni ndogo sana pia zinachukua muda mlefu mpaka ziote ivyo kuwa na uvumilivu Mkuu

Bamia chukua mbegu ya Mwendokasi apo utavuna mapema pia kwa wingi
Kila lakheli Mkuu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwasasa kwanzia Kibaha mpaka dar masoko mengi ndoo kubwa inacheza elfu 12 na hii ni toka mwaka jana mwezi wa 6 bamia Iko juu sana.
 
Hoho itapendeza kama ukianzia kwenye kitalu Kisha aumishe Miche kwe bustani maana mbegu zake ni ndogo sana pia zinachukua muda mlefu mpaka ziote ivyo kuwa na uvumilivu Mkuu

Bamia chukua mbegu ya Mwendokasi apo utavuna mapema pia kwa wingi
Kila lakheli Mkuu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ahsante mkuu
 
ndio ikoje hiyo mbegu mkuu? kama unawea tupa picha au jina lake linalotambulika katika maduka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom