Gerald Chaz
Member
- Jan 1, 2023
- 5
- 2
Natamani kulima maboga ila sijui kanuni kuanzia mbegu,udongo,msimu mzuri wa kulima na soko
Mkuu. Nakusaidia tu. Tafuta maboga ya mbegu. Achana na ta chakula ila kama unamifugo. Huu mchongo wanapiga watu wa njombe. Debe la mbegu hufika hadi elf 30. Wengi huchanganya kwenye mahindi.Natamani kulima maboga ila sijui kanuni kuanzia mbegu,udongo,msimu mzuri wa kulima na soko