Naombeni mnifafanulie maana ya Ndoto na mambo haya.

Unakaribia kufa ... Nlvyokua nakufa nilisikia hizo hali

In this life there are two things either you adapt if not you have choosen to perish... think
 
Ndoto Hizo Ni Mbaya, Kama Huendagi Kanisani/ Msikitini Au Kokote Unapotakiwa Kuabudu Uanze Kwenda Sasa Ukatubu!
 
Ndoto Hizo Ni Mbaya, Kama Huendagi Kanisani/ Msikitini Au Kokote Unapotakiwa Kuabudu Uanze Kwenda Sasa Ukatubu!
Yawezekana mkuu maana muda wote natenda dhambi...
But
Umeona thread imeandikwa lini????
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa naota sana nikipaa hewani.
Siku hizi nimepunguza sana kuota upaaji ila kuna siku naota nipo katika anga ama maeneo marefu ambao mwili unaogopa.
Nyakati za udogo wangu, naliota nyuki wakitengeneza asali kwangu.
Ndoto zingine bana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani ndio point kuu hapo najua hiamini sana katika mambo ya kiroho but ebu jaribu kureview historia ya maisha yako pamoja na ukoo wako kiujumla cha kwanza kuna uwezekano una kipawa flani kikubwa ila roho chafu zinafosi kukudidimiza or maybe kuna kitu ulifanya au unalifanya ni tofauti na asili ya kwenu.
Usishawishike na waganga muweke MUNGU mbele kwani GOD OVER EVERYTHING
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…