Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,161
- 2,612
Heshima kwenu wakuu.
Kuna show moja kali sana ikijumuisha Mary J. Blige, Dr. Dre, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent, Kendrick Lamar et al.
Naomba kama kuna mtu ana link ya full show anisaidie nitazame unyama wa hawa jamaa aisee.
Najua JF ni kisiwa kikubwa kilichosheni wadau wa kila aina, hivyo natumai ombi nimelileta sehemu husika kabisa wakuu.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu.
Thanks in advance.