kimsboy JF-Expert Member Oct 17, 2016 9,784 20,155 Apr 30, 2017 #1 Unaringa una nini kijuso vijimeno kaa jini Punguza kelele.mama kelele Ni baadhi ya maneno nimeyasikia kwenye huu wimbo Naombeni jina wakuu la huu wimbo
Unaringa una nini kijuso vijimeno kaa jini Punguza kelele.mama kelele Ni baadhi ya maneno nimeyasikia kwenye huu wimbo Naombeni jina wakuu la huu wimbo
Jimmy George JF-Expert Member Nov 28, 2016 1,733 1,648 Apr 30, 2017 #3 Queen Darleen ft Rayvan - kijuso