Wewe uliogopa kuleta?Ndoto yangu ya kila siku, nashukuru kwa kuleta mjadala huu.
Mpaka pweza wakafike siwatakua wameharibikaSupu ya pweza leta kigoma
Kilimo Cha mpunga,mahindi,Ndoto yangu ya kila siku, nashukuru kwa kuleta mjadala huu.
Hapana sikuogopa kuleta, sijapata mtu nikafanya nae biashara, naona kama nikipata mtu mfano Mwanza nasikia wanashida sana na viatu vya shule vya ngozi. Sasa natamani nipate mtu tukaaminiana tufanye biashara. Nakumbuka kabla ya corona nilikuwa naweza kusafirisha nguo za kiafrika Ulaya Ila toka corona ilipoingia hadi leo hakuna tena biashara. Nakumbuka enzi hizo unakwenda mala 3 kwa mwezi kutuma mzigo Ila sasa hivi hata mkoani tu ni shida. Na pia uaminifu imekuwa shida.Wewe uliogopa kuleta?
Hapo sawaHapana sikuogopa kuleta, sijapata mtu nikafanya nae biashara, naona kama nikipata mtu mfano Mwanza nasikia wanashida sana na viatu vya shule vya ngozi. Sasa natamani nipate mtu tukaaminiana tufanye biashara. Nakumbuka kabla ya corona nilikuwa naweza kusafirisha nguo za kiafrika Ulaya Ila toka corona ilipoingia hadi leo hakuna tena biashara. Nakumbuka enzi hizo unakwenda mala 3 kwa mwezi kutuma mzigo Ila sasa hivi hata mkoani tu ni shida. Na pia uaminifu imekuwa shida.