Naombeni elimu ya kulipia withholding tax na stamp duty

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
564
1,719
Nikilipa napeleka risiri TRA? Kuna cheti napewa kama ilivyo kwa tax clearance?

Kuna namna ya kuipunguza? nini madhara ya kutolipa?

Mwisho ni lini napaswa kulipa ?
 
With holding tax rate ina vary na huduma uliyotoa. Kama ni ya pango basi ni 10% ya kiasi cha invoice kabla ya vat.
Kama ni malipo ya huduma ni 5%.
Stamp duty ni 01% ya invoice bill.
Utapaswa u pakie invoice kwenye tra web ili kupata control number kabla ya tarehe 7 ya mwezi husika.
Ukishalipia control number tra web itakuletea certificate ya with holding, pia itamtumia certificate hiyo mteja uliyemu issue with holding through his tra web.
Ukikwepa kulipa you are not safe. Siku ya kupeleka hesabu tra wakiona hukulipa watakupaswa ulipe pamoja na penalty.
 
Back
Top Bottom