Rejea kichwa cha habri hapo juu.
Ningependa kujua Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro ni nani, nyadhifa alizowahi kushika, mwaka aliozaliwa, mwaka aliojiunga na Jeshi la Polisi n.k
Mwenye CV atumwagie jukwaani ili tupate cha kujifunza