shituka kutoka usingizini, petrol bei juu, unga bei juu, Mchele bei juu, mafuta ya kula bei juu, marejesho ya mkopo wa elimu ya juu bei juu, gharama za maisha bei juu. Bado unamuwaza Paul Makonda?
Naomba mambo ya Ngoswe yasiyo kuathiri umwachie Ngoswe mwenyewe , mind your own business