mimi ni mwanachuo wa University, nathibitisha wanayoyasema wenzangu ni kwel kabisa, mimi ni wa transfer na ni muhanga wa hzo siku 60, mpaka leo ni zaid ya siku 100 hatujapata kitu, juzi ndo tumeambiwa majina yetu yanashughulikiwa hvyo tusubir baada ya wiki mbili,,sijui rais Magufuli analifahamu hilo au atalifahamu baada ya wanafunzi kufa kwa njaa vyuoni, yani kila shughuli ya kitaaluma inakwama, kweli nmeamini loan board ni jipu la kutumbuliwa kwa makini mno siyo juu juu, mkataba tumeingia sisi lakini pesa zetu mnakaa nazo za nin?. , nawaambia tumejipanga,, mkileta laki tano tu tunakuja hukohuko bodi, take care before action.